Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

" kinondoni " inaonesha mahali anapo nunuaga dada poa. [emoji23] [emoji85]
Kielezi kinaeleza jinsi tendo lina/li/taka/vyofanyika.

Yego alikwenda Kinondoni HARAKA ili kununua demu. HARAKA ndo kielezi. Kinondoni ni NOMINO - jina la mahali na haielezi cho chote....

Mwalimu wako wa Kiswahili nikikutana naye namlima mtama !!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kielezi kinaeleza jinsi tendo lina/li/taka/vyovyofanyika.

Yego alikwenda Kinondoni HARAKA ili kununua demu. HARAKA ndo kielezi. Kinondoni ni NOMINO - jina la mahali na haielezi cho chote....

Mwalimu wako wa Kiswahili nikikutana naye namlima mtama !!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Me nimesoma Nigeria kiswahili nimejifunza ukubwani. [emoji23] [emoji1]
 
Back
Top Bottom