Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

We jamaa ni mchokozi sana..

Yaani maneno yote hayo umeona hilo tu.... [emoji23] [emoji1]
Source yangu wala siyo Magu...Inapaswa kuwa when uncle Magu have left. Past tense huwezi kuiacha na simple past tense left pekee.

Tule likes bana. Malugha ya watu haya. Si ajabu hata mimi hapo nimekosea. Ingekuwa ni Kisukuma ndo ningekuwa na uhakika zaidi....
 
Me nimesoma enzi za mkoloni,

Mwalimu Julius nyerere was a presidential which fought for independence day. [emoji23]
 
Kielezi kinaeleza jinsi tendo lina/li/taka/vyofanyika.

Yego alikwenda Kinondoni HARAKA ili kununua demu. HARAKA ndo kielezi. Kinondoni ni NOMINO - jina la mahali na haielezi cho chote....

Mwalimu wako wa Kiswahili nikikutana naye namlima mtama !!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Me nimesoma enzi za mkoloni,

Mwalimu Julius nyerere was a presidential which fought for independence day. [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hongera kwa kusoma Nigeria. Hongera kwa kusoma wakati wa Nyerere. I study when Mwinyi was presidential of second awamu!
 
Back
Top Bottom