myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nakazia hapo kwenye chepechepe[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nakazia hapo kwenye chepechepe[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha misemo bro...What matters is progress
Siachi walah tenaHilo chimbo usiliache
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zaliiiiii....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najitolea kwenda nansio ila gharama zote zakeNingependa kuwa shuhuda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sijasema hivyo...[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], Kwa maana nyingine nipambane na ukame wangu, sio?
Huo ujasiri huna coleWatu wenye ujasiri wetu tupo
Ugumu tu
Note sijui mnaongelea nini
Mimi ni thomaso yego,siamini hadi nithibitishe[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani nansio nauli sh ngapi??
Jiraniiii....Hakuna konokono wote wako sawa kasoro radha tu
Jamani?Babu Seya alishatoka. CHACHAWA na Pope ngoma droo [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]Slogan yetu sisi WAGUMU inasema, “Pambana mpaka mwisho” ili kuwafamisha wasio WAGUMU kutuelewa! Hata kama konokono akitambaa mguuni mwako, unampiga teke tu wewe unaendelea na yako! [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ujangwa la sahara[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], Kwa maana nyingine nipambane na ukame wangu, sio?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mi sijasema kitu shemeji kipenzi darling [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28],Una bahati niko memba mwaminifu wa CHACHAWA. Unge...[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Sijuani na mtu mieJirani mnajuana nini??
Utalipia hadi gharama za usumbufuNgoja nitafute guta hapa jamaa aje akuchukue ili uje uthibitishe kauli yangu! [emoji23]
Wa kwako ni wale wanaopatikana kwenye mikondo ya bahari ya maji moto? Wale wanene wenye majimaji mnato?Nina mashaka na huyo konokono yawezekana alikuwa kapoa yaani wabaridi