Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Daa toka nijiuge na jamii forum naona mapichapicha hivi[emoji23][emoji23][emoji81][emoji23][emoji81][emoji144][emoji144][emoji134]
 
Jamani wapendwa wa likes, mwenzenu siku hizi kila ninachokiota nikiamka asubuhi siku haiishi kinatokea....
Hii hali imeanza last week..
Yaani kinatokea kama nilivyokiota..hakuna chochote kinachoongezeka wala kupungua...
Hebu yaweke hapa matukio mawili,kama lipo na la kufakamia "konokono" naomba liwe la kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…