Cerely ina kiwango kidogo cha Calorie, na asilimia kubwa ya saladi hii ni maji, hivyo unashauriwa kula kwa kuchanya na kitu kingine, kama utakuwa unafanya diet, cerely isiwe pekee kwa sababu ni maji tuu, hivyo kukufanya kushikwa na njaa mapema, cerely ni namba moja kwa kunyonya mafuta mwilini..