Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi kuolewa ni mzigo eeh??
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ujinga wa hali ya juu huu. Huu ni ubaguzi wa kutisha. Yaani kuthibitisha uraia wako kwa kutumia makaburi!!!!? Na kama kwenye hayo makaburi kuligeuzwa mashamba au makazi ya watu basi weye si Raia!!!!

UPUUZI MTUPU!!!!
Last year nimejaribu kupata kitambulisho cha Taifa nikakwama. Vyeti vya kuzaliwa vya baba na mama vinatakiwa, na cha bibi na babu ikibidi wakati hata mimi tu sina. Halafu mtu unapewa pasipoti wakati kitambulisho cha Taifa huwezi. Very perplexing !!!

Uraia na uzaliwa kutumiwa kama silaha ya kisiasa siyo jambo geni hasa kwenye hizi shithole countries. Naona hata kwa Obama walijaribu akina Trump kipindi kile wakashindwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…