mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Yaani lina bahati sana hivi ni Rais gani ambaye hajawahi kuwa mwanasiasa au government worker katika historia ya USCha ajabu poll #s kwa hillibillies wapiga kura wake ndo zinazidi kupanda. Zamani skendo kama hizi zilitosha kumwachisha mtu uraisi na au kumkosesha ushindi. Lakini lenyewe limo tu...
Safi sana Mohammed Juma [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122].Mkazi wa Kitunda, Mohammed Juma ametinga katika ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akidai kunyanyaswa na mke wake.
Akizungumza na MCL Digital leo Aprili 10, Juma amesema amefukuzwa na mke wake katika nyumba ya urithi, kisha mwanamke huyo kuwafukuza wazazi wake na watoto wa Juma.
“Wanaume tuna matatizo mengi lakini hatuyasemi, hatuyazungumzi bayana, imefikia wakati tupate nafasi tutoe manung’uniko yetu,” amesema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safi sana Mohammed Juma [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122].
Hahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mara oooh.. akaniambia ngoja nikatafute maisha huko Mbagala,nikifanikiwa nitakutumia "kadi ya kliniki"... Nikasema sawa mume wangu...
Alivyoondoka na makengele yake ndo ikawa jumlaaaa jumlaaa...
Arasii wee nisaidie tu kikadi nimfuate huko huko na mimi natamani kupanda " kipita juu"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mara paaap!!! Mwajuma/Mama Abdalla huyo kwa Tv "namtafuta bwana angu Shimba ila jina la mbele hakuniambia,nina mtoto wake, anitumie hela tu matumizi ntapanga mwenyewe"
Hahahahaha jupitahawayuni
Huku jupita mkongo wa mawasiliano ulikatika nikapotea ghafla