Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1.Ningeweza kufanya kama Ningekuwa na pesa
Japokuwa asilimia kubwa ya sentensi nyingi zinazoanzia na hilo neno hapo juu huwa kweli,
(mfano: ningekuwa na fedha ningenunua kisiwa nikae huko na familia yangu) lakini Muda mwingi watu wengi tumekuwa tunasingizia kukosa fedha hata kama hatukutimiza wajibu wetu!
Wengi huamini fedha ndio kila kitu katika maisha yao. Hata kama wangekuwa na uwezo wa kufanya suala Fulani bila ya fedha, huliacha bila hata ya kujaribu na kuona haliwezekani bila ya fedha!
“Money without brains is always dangerous”
 
2.Siwezi Kuishi Bila Yeye
Inaweza kuonekana ni ngumu lakini kila binadamu ameumbwa akiwa na utashi wake, na ukamilifu wa kuweza kuyaendesha maisha yake. Kinacholeta tofauti hapo ni namna gani umeuzoeza mwili/ mawazo yako kumtegemea mtu Fulani. Japokuwa siku zote tunaogopa kumkosa mtu huyo, cha ajabu ni kwamba, tunapomkosa tunakaa muda flani tu na kusahau yote licha ya kuvunjika moyo hapo kabla, na kuhisi moyo wako umenyofolewa kitu ambacho hakitarudi tena.
 
Hahahahaha awamu hii tutaonana mengi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaone. Sasa nini kimekufurahisha hapo?

Same material. Kazi tofauti. Kule kwingine ngozi inabidi iwe hivyo ili kuhakikisha joto halibadiliki badiliki sana. Azawaisi kile kiwanda muhimu kuliko vyote kinaweza kushindwa kufanya kazi sawasawa....
 
3. Nimeshazeeka Siwezi kufanya hili/ Umri wangu Bado!
Kwa utafiti mdogo, Nimegundua kuwa waafrika wengi husubiri wafike miaka 30 ndipo waanze kuvaa majukumu mengi (mfano Kuwa na familia, kujenga, kununua ardhi, usafiri nk) Na je umegundua kwamba wakifika umri wa miaka 40 hujiona wazee na kukata tama na kutojihusisha na kujifunza vitu vipya? “mambo ya vijana hayo” Na watu wengi wenye miaka zaidi ya 50 hujiona wamechelewa na teknolojia imeshawapita, kumbe maisha yamerahisishwa! Kama uliweza kujifunza mambo mengi magumu ambayo mpaka unajisifu kwamba vijana wengi wa sasahivi hawayawezi, kwa nini uogope kujifunza kutumia kompyuta, mitandao au simu za kisasa? Hujachelewa anza sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…