myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
12:50
TrueUshamba, ushamba, ushamba. Nyumba ya kupanga au yako mwenyewe mapicha picha mtandaoni ya nini. Ujinga ni ugonjwa mbaya
Taifa limeingizwa kwenye hasara kizembe
Yeremia 33:4
Ni vema na tena ni haki milele yoteYeremia 33:4
Yes Jesus wa blackBlack Jesus...Nooo..Jesus was black...
Sis kwema? Kama nipo kwenye ignore list naomba unitoe please. Namiss likes zako. Hata kosa langu silijui jamani....
Na iwe hivyo milele yote
Numbisa hacha hizo fellaini kuja liver kwa mpira ganiLiverpool wameandaa mkataba wa miaka mitatu kwa ajili ya mchezaji wa safu ya kati wa Manchester United Mbelgiji Marouane Fellaini, huku Paris St-Germain na Monaco pia wakionyesha kumtaka kijana huyo mwenye umri wa miaka 30 ambaye mkataba wake katika Old Trafford unamalizika mwisho wa msimu. (L'Equipe -kwa Kifaransa)

Kuna harufu ya siasa kwenye hili mkuu
Pia kuna harufu na kukomoana, na kunyamazishana kwa nguvu
Nothing else.
Huyo kiongozi wa dini ndiyo jackpot!
Awesome Fantastic and amazingSafi sana mkuu. Unajua mwanga huo huo huchukua muda gani kutoka katikati ya jua unakozalishwa (kama photon) mpaka kufika nje ya jua na kuwa emitted kuanza safari hiyo ya dakika 8:20 kutujia? Ni maajabu makubwa !!!