mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
12:4112:28
Safi mamboHabari za asubuhi
wewe...................!!!
Hapa Kazi tu mkuu za masiku tele
Last supper
Huyu vioja haviishi Mara tuweke sanamu ya diamond pale samora agrrrrrr
Kabisa mkuuKila mtu ana umuhimu wake
Tena mbaya sanaHuu ni ukatili mkuu !!!
Tena mbaya sanaHuu ni ukatili mkuu !!!
HahahahaHuyu vioja haviishi Mara tuweke sanamu ya diamond pale samora agrrrrrr
Habari za Leo my dear
Ushamba, ushamba, ushamba. Nyumba ya kupanga au yako mwenyewe mapicha picha mtandaoni ya nini. Ujinga ni ugonjwa mbayaHela za magendo hivyo wanaona zitazidi kumiminika kila siku. Mfano wasanii kama h baba na wema dah kuna kipind walizifuma pesa wema akaenda panga nyumba ya milion 200 akasingizia kainunua mambo yalipobuma akaumbuka,hbaba alipanga ghorofa kila siku insta mapichapicha alipofulia ndoa ikasambaratika,mke akarudi kwao, Saiv naona anatupia picha numba nzuri kwamba kajenga nzuri mwanza na mke anaanza kurudi hahaha jaman
Gr8 kwa kweliHabari za Leo my dear