Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mvua? Na kaubaridi baridi?

Hii tabia ya kutelelekeza watoto ni aibu kwetu wanaume. Ni tatizo la wanaume wa kiBlack American pia na linatajwa kuwa sababu mojawapo kuu ya kuwa na watoto wasiojua wajibu wao na wasio na misingi imara maishani.
Mvua na kaubaridi pia.

Kuna vitu huwa sielewi,hivi unaanzaje kutelekeza mtoto wako?hujiulizi wewe unhefanyiwa hivyo ungekuwa wapi sasa hivi?
Halafu kucha tunaanza kusema masingo maza kama wanajipa mimba wenyewe.aaaggrr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…