carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwakaleli ama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Carba- ignore hii comment....
Kura yangu Jakitoo na Shimba yaNaonelea madem wa uzi wapige kura waamue dem mgani atatuzalia katoto ketu ka uzi halafu wanaume wapige kura waamue nani atapeana hiyo mimba[emoji1477][emoji1477][emoji1477]
[emoji28][emoji28], wanamsingizia tu Sarai wa Harmo.[emoji23][emoji23][emoji23]jamaniiiii
Huyu mzungu ni wa nchi gan?
[emoji28], washakua addicted na ubuyu..
Hali sasa ni mbaya sana na sijui ni kwa nini. Generation inayomaliza muda wake wengi wanaondoka wakiwa 90s. Sasa sisi na hii dot com inayotufuatia sijui kama hata hiyo 75+ tutafikisha. Something has changed !!!Kwa mujibu wa vitabu vitakatifu 75 years kwa waliopendelewa ukiongeza kumi moja ni 85 lakini now days ,peoples dying to young
SAFI KABISA,ME TOO NAWAPA HAO HAOOO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kura yangu Jakitoo na Shimba ya
Sawa ila ukijitolea kuhesabu kura hutakiwi kugombeaNitakusaidia ili usifunge goli la mkono....
Na wengi wanaofanya hivyo nao walikua bila mababa. Ni vicious cycle....Mvua na kaubaridi pia.
Kuna vitu huwa sielewi,hivi unaanzaje kutelekeza mtoto wako?hujiulizi wewe unhefanyiwa hivyo ungekuwa wapi sasa hivi?
Halafu kucha tunaanza kusema masingo maza kama wanajipa mimba wenyewe.aaaggrr
Mbadala wa keki nadhani.What's going on here? Zawadi? Mahari?
Nampigia kura PyaarAmeshapendekezwa [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Koromije[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbadala wa keki nadhani.
Wachaga wao wanaandaa ndafu,sasa hawa sijui wa wapi wameamua kuweka samaki
Hahahaha!! Ujipigie na wewe.Unataka kura yangu?
Koromije huku kiwanja kimeanza kuota nyasi. Nasikia walimfanyia mizengwe. Mara eti alikuwa hajamalizia kulipa...Hile Gulfstream yake vipi ilishafika
[emoji28][emoji28][emoji28],,Labda manufacturer ni kampuni inayomilikiwa na Mshana Jr [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kuna mtu kila mwaka anaoa tena kibaya zaidi bikira halafu anamgusa gusa tu anamwacha hivi pale hakuna jeshi kama Zimbabwe yule mfalme ananiboa sana
Me naona mchina mweusi na malkia watafaa zaidiKura yangu Jakitoo na Shimba ya
Nitashangaa kama kiongozi wa dini atakuwa amezaa mtoto na kumtelekeza....Wazee wa fursaView attachment 740364