Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwenyekiti wa chama cha Freemason afrika ya mashariki alijiunga na jamii ya siri ya chama cha Freemason mnamo mwaka 1957 akiwa na umri wa miaka 25 na mwaka 2006 akapewa cheo cha kuwa mwenyekiti wa chama cha Freemason afrika ya mashariki, na kuandika kitabu kinachoitwa " FROM A NIGHT JOURNEY FROM BUKENE " [emoji1] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji108]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] SYB katika ubora wake
 
Sir Andy chande ambaye alikuwa mwenyekiti wa chama cha freemason afrika ya mashariki alidhibitisha kuwa hayati mwalimu julius kambarage nyerere hakuwa freemason bali alikuwa anajua majukumu yote katika jamii freemason huwa wanafanya. [emoji13] [emoji23] [emoji1] [emoji108]
 
Nimeisave mkuu kwa matumizi ya baadaye[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…