Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Mgumuuuuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani ulikuwa zaidi ya mpole.
Ukiandika kitu mtu unakaa chini unatuliza akili na kutafakari.
Ila rolo modo alivyoanza darasa lake sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woooiiiii ukaanza kufunguka hatari.
Ila ndo raha ya kuwa huru,huwazi nani anawaza nini nikiandika hivi.
Nb;tusihukumiane kwa tuyaandikayo humu(in andjul's voice)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mlinichosha sana mlivyo anza kuitana "mkuu" na kitoo.
Kumbe hii ndo sababu?
Haya bana....
Na huyo barafu wa moyo wake ni nani?
Mwanzoni nilifikiri ni wewe hasa pale uliposhinda ile bet na Kijana mgumu.
Sijakaa sawa tena nikaanza kusikia ushemeji.
Huu uzi yaani sometimes kufuatilia mambo na kuwa up to date ni kazi.
Ni afadhali hata wanaofanya kazi ya kufuatilia vimwondo hatari huko NASA
Yes! [emoji123]
Halafu nimekumbuka.
Kumbe hii ndo sababu?
Haya bana....
Na huyo barafu wa moyo wake ni nani?
Mwanzoni nilifikiri ni wewe hasa pale uliposhinda ile bet na Kijana mgumu.
Sijakaa sawa tena nikaanza kusikia ushemeji.
Huu uzi yaani sometimes kufuatilia mambo na kuwa up to date ni kazi.
Ni afadhali hata wanaofanya kazi ya kufuatilia vimwondo hatari huko NASA
Nitakupa Carba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Mie na mweleka nilikula bila kutarajia nilipoona wamefika stage ya mwanangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mlinichosha sana mlivyo anza kuitana "mkuu" na kitoo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapana, nimepata hii! 1-800-YES-YEGO
Kumbe na wewe mpenzi wa mpira eeh??Huyohuyo hachomoi hata kwa dawa [emoji23][emoji23]
Hiyo ya wapi?sijawahi iona[emoji23][emoji23][emoji23]Hapana, nimepata hii! 1-800-YES-YEGO
Na wewe itabidi uwe tu ...Kumbe na wewe mpenzi wa mpira eeh??
Ooowwwh[emoji4][emoji4][emoji4]Busara tupu yaani...
Kwa nini mtu asikupende?