Vizuri kabisa mtoto mzuri.Huyu Yego hata chai ya asubuhi hajanywa. Ngoja basi apate kifungua kinywa, akishamaliza ataenda nje kucheza mchezo wa kujificha na watoto wenzake! [emoji1]
unataka kuwala kondoo..Na kwanini uwe mbwa mwitu ndani ya vazi la kondoo?
Unaficha nini?
Tuanzie hapo kwanza
Uliona ule uzi wa forex wa juzi juzi hapa?
Hivi wanaruhusiwa kuvaa nguo za kubana hivi??Wauguzi wetu. Thanks....
View attachment 741260
[emoji120][emoji120]habari yakojirani salam sana..