[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] ukikua utakuja kulichukia sana swali lako hilo... "Kua uyaone"Na kwanini uwe mbwa mwitu ndani ya vazi la kondoo?
Unaficha nini?
Tuanzie hapo kwanza
Nashukuru kwa upendo shem[emoji120][emoji120][emoji120]Mungu ni mwema, infwakti nimekukumbukamo
Njoo unywe chai kwanguHuyu Yego hata chai ya asubuhi hajanywa. Ngoja basi apate kifungua kinywa, akishamaliza ataenda nje kucheza mchezo wa kujificha na watoto wenzake! [emoji1]
Huku wanavaa. Hata juzi alikuwepo mmoja...Sema tu ukiwa mgumu haya mambo hayakusumbui sana...What a blessing!!!Hivi wanaruhusiwa kuvaa nguo za kubana hivi??
Hapa si kumpa mtihan mgonjwa??
Kila nikiona unacheka peke yako nahisi unacheka kwa ajili ya ile picha ya suruali ya kitambaa ya ho chi minhTabia haiachiki
Yaani siku hizi anacheka pekeyake[emoji23][emoji23]sijui ananiniHiyo tabia sijui utaacha lini?!!!
Vizuri kabisa mtoto mzuri.
Baba na mama wanapanga bajeti wanataka wakakununulie mdogo wako sokooonii...sawa baba eeeh?!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mvua shawishi kwa WAGUMU kusimamia misingi yao
Vingekuwa vile vifupi vifupi ningekutajiaNi nini hiyo shem?
Si nimejua kutumia emoj nzuriYaani siku hizi anacheka pekeyake[emoji23][emoji23]sijui ananini
Andaeitini hajayaona maisha bado ama?[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] ukikua utakuja kulichukia sana swali lako hilo... "Kua uyaone"
Sasa kwanini usiwe mbwa tu kondoo wajue wewe ni mbwa na utawala tu?unataka kuwala kondoo..
KWELI watu wazima jibu hamlijui?Yaani siku hizi anacheka pekeyake[emoji23][emoji23]sijui ananini
Ni utumbo umeshindiliwa nyama zilizosagwa. Sausages...Wewe ulifikiri ni nini?Ni nini hiyo shem?
Duh!!Huku wanavaa. Hata juzi alikuwepo mmoja...Sema tu ukiwa mgumu haya mambo hayakusumbui sana...What a blessing!!!
safii[emoji120][emoji120]habari yako
Njoo unywe chai kwangu