[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kila nikiona unacheka peke yako nahisi unacheka kwa ajili ya ile picha ya suruali ya kitambaa ya ho chi minh
Jamani[emoji134] [emoji134] [emoji134]Bado. We mtu amevunja ndoa kisa mume kupenda ipielo!!!
Kwamba na yeye CHACHAWA....na konokono amenona na anataka....KWELI watu wazima jibu hamlijui?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe nakuja mgahawani? Nimegairi! [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tena ipielo anaangalizia nyumbani wala siyo huko kwenye mabaa....Bado. We mtu amevunja ndoa kisa mume kupenda ipielo!!!
dah!Check out this article from USA TODAY:
President Trump taunts Russia for vow to shoot down any U.S. missile fired at Syria
President Trump taunts Russia for vow to shoot down any U.S. missile fired at Syria
Huku kumekucha kama hivi!
SawaHahahaha Wala huwa naweka hivyo hivyo
Sasa mimi mwelekeo wangu haueleweki kivipi?Wewe kwani hujui[emoji125] [emoji125] [emoji125]
AiseeHalafu wapoleee. Akikuinamia anakuwekea sijui mawaya kifua chake kinakugusa gusa. Hapo sasa inabidi ufokasi kwenye ugumu...
Mgumu ushakua mlainiiiiNakuja, tayarisha na vitumbua kabisa! Kama kuna chapati nazo poa! [emoji1550][emoji1550]
Hapo ndo atakapo jua tofauti ya kitumbia na "kitumbua"[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Viandaeitini hivi havieleweki. Kitakuja hapo na skinny jeans imepasuka magotini hakana kitu mkononi na kanataka "kitumbua". Katasingizia miscommunication. Jiandae !!!
Atakuwa alijua lisaksafoni kuuuubwa nene refuuuuu limezungurushwa kwenye hifadhi.Ni utumbo umeshindiliwa nyama zilizosagwa. Sausages...Wewe ulifikiri ni nini?
Hivi ile picha hukuisave??nashida nayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha jamaniiiiKuupata uelekeo wa Numbisa ni kazi ngumu sana.Kama kakaake tu....
Tafsiri yake puliziiiCheck out this article from USA TODAY:
President Trump taunts Russia for vow to shoot down any U.S. missile fired at Syria
President Trump taunts Russia for vow to shoot down any U.S. missile fired at Syria
Huku kumekucha kama hivi!
Hapana....Kwamba na yeye CHACHAWA....na konokono amenona na anataka....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwema?
Yasni sijui nielezee vipi ueleweSasa mimi mwelekeo wangu haueleweki kivipi?
Mgumu ushakua mlainiiii