Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hakuna mgumu hapo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chama kwisha habari
 
Atakuwa alijua lisaksafoni kuuuubwa nene refuuuuu limezungurushwa kwenye hifadhi.
Hata mimi niliuhisi mtego huo katika swali lake ndo maana nikajibaraguza kivingine tu. Ina maana saksafoni lako kubwa reefu nene zito unalojivuniaga mara kwa mara analijua? Au unaongelea nini hapa? [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…