Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni sheria ambayo uwe unaijua au usiijue ukijirusha gorofani lazima uanguke chini. Sheria kuwepo haimaanishi mpaka uijue ndipo matokeo yake huonekana bali hata ukiwa haujui bado sheria itafanya kazi yake katika mangilio wake unavyotaka.
 
Mapinduzi makuu ya sasa ni ufuatiliaji wa asili na jinsi akili ya mwanadamu ilivyo. Sayansi ya kufuatilia akili ya mwanadamu ilivyo ni sayansi ambayo inategemewa kuleta mapinduzi makubwa kwani akili ya mwanadamu ina sayansi kubwa sana.
 
Asilimia kubwa ya maisha ya mwanadamu inatengenezwa na akili yake hivyo katika elimu hiyo utaweza kufahamu mengi sana kuhusiana na mwanadamu na jinsi akili yake inavyofanya kazi vyema.
 
Hahahah aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…