Siku zote mwili wa binadamu ili uweze kuwa katika afya nzuri nahitaji virutubisho mbalimbali ambavyo vinapatikana katika vyakula tunavyokula kila siku.Pale mwili unapokosa virutisho hivyo basi upelekea mwili kuwa dhaifu kiafya(kumbuka mwili haujengwi na matofali).
Tango ni tunda mojawapo ambalo linafahamika sasa na ni moja ya tunda lenye virutubisho vingi sana ambayo uwezesha mwili kuwa na afya njema.Tango ni chanzo kizuri cha Kashiamu, Chuma, Vitamini C, Phosforas, Potasiamu, Zinki, Kambalishe, Vitamini B complex na Vitamin E.
Unapojua umuhimu wa kitu inakuwa ni rahisi sana kuanza kuchukua uamuzi na kufanyia kazi.Vivyo hivyo katika swala zima la virutubisho katika mwili wako, pale unapojua umuhimu wa kula tunda fulani na faida zake katika afya ya mwili wako,utachukua uamuzi wa kuanza kulila mara kwa mara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.