Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

3.HUONGEZA VITAMIN C MWILINI

Tango linakiwango kikubwa na vitamini C ambayo husaidia kuondoa matatizo mbalimbali yanayosababishwa na ukosefu wa vitamin C kama vile kuota meno na mifupa vibaya pia kutokwa na damu kwenye fizi.
 
4.HUBORESHA KIWANGO CHA MAJI MWILINI

Mwili wa binadamu unahitaji kuwa na maji muda wote ,pale mwili wako unapokosa kuwa na maji afya ya mwili wako ipo hatarini.Ulaji wa matango usaidia kuboresha kiwango cha maji mwilini ambayo husaidia kuondoa taka mwilini na sumu zilizopatikana katika ulaji wa vyakula mbalimbali.
 
5.HUONDOA HARUFU MBAYA KINYWANI

Kwa wale wanaosumbuliwa na kuwa na harufu mbaya kinywani wanashauriw kula matango mara kwa mara kwa sababu huweza kuua bakteria mbalimbali wasababishao magonjwa mbalimbali ya kinywa na harufu mbaya kinywani.
 
6.NI TIBA YA HANGOVER

Kwa wale wanaosumbuliwa na hangover au kichwa kuuma nyakati za asubuhi,wanashauriwa kula tango kabla ya kwenda kulala,matango yana vitamini B na electrolyte ambayo husaidia kuondoa hali ya hangover.
 
7.KINGA DHIDI YA SARATANI

Kula tango mara kwa mara humsaidia mlaji kujikinga dhidi ya saratani za aina mbalimbali,tango lina kiwango kikubwa cha uchachu(alkaline) ambacho huzuia seli za saratani kuishi kwani haziwezi kuishi kwenye mazingira ya uchachu.
 
8.UBORESHA AFYA YA NYWELE NA KUCHA

Madini ya silicon na sulfur yaliyopo kwenye tango husaidia ukuaji wa nywele zako na kucha kung’aa na kuwa imara Zaidi.
 
9.UPUNGUZA MSONGO WA MAWAZO

Tunda hili aina ya tango lina kiwango kikubwa cha vitamini B ambayo husaidia kuboresha utendaji mzima wa mishipa mbalimbali ya ufahamu mwilini,hivyo husaidia kuondoa hatari ya mtu kuathirika na msongo wa mawazo.
 
10.HUSAIDIA KUPATA CHOO

Kama unasumbuliwa na kupata choo mara kwa mara,pend kula tunda hili la tango kwani litakusaidia kupata choo laini.Tunda lingine linaloweza kukusaidia kupata choo ni pamoja na ulaji wa mapapai.
 
Back
Top Bottom