Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asali inavunwa na watu mbalimbali duniani kote na kuwa chakula muhimu sana katika maisha yetu. Asali husaidia katika kujenga afya zetu. Kipindi cha miaka ya zamani katika nchi za kaskazini ilikuwa njia ya pekee ya kutia utamu kwenye chakula kabla ya kupatikana kwa sukari kwa njia ya biashara ya kimataifa.
 
ZIJUE FAIDA ZA ASALI KATIKA AFYA YAKO

1.Kwa wanaosumbuliwa na kikohozi mara kwa mara wanashauriwa kutumia asali kwa kuichanganya na limao kwenye chai,machanganyiko huu husaidia kutibu kikohozi na maambukizi kwenye mfumo wa hewa.
 
3.Katika afya ya akili chakula hiki cha asali huwa na msaada mkubwa kwani uongeza uwezo wa akili kujifunza,kufikiri na kutunza kumbukumbu.Kwa wale wanaosumbuliwa na hali ya kusahau sahau wanashauriwa kutumia asali mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom