Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,974
- 24,504
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] dalili naziona walai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] dalili naziona walai
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahah!! Sema juve wangepata goli round ya kwanza wangetisha zaidi
Linamo mambo22:29
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Juve ndo wananirudisha humu ndani [emoji23][emoji23][emoji23]
Yani utakunja sana sura [emoji23][emoji23][emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Wataliano naona wamenyweshwa divai kabla ya kuingia kwenye game, sijui Zidane atakuja na mbinu gani kipindi cha pili?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Braza mechi imetushinda hiii we angalia tunavo cheza
Shwari IcemanLinamo mambo
Unywe mengi kabisaHali yangu si nzuri kwa sasa
Ngoja nikanywe maji
Ukapumzikeee saa hizi usikuuuuYani utakunja sana sura [emoji23][emoji23]
Sawa utanipa matokeo asubuhi [emoji23][emoji23][emoji23]. Bado mbili tu [emoji28][emoji28][emoji28]Ukapumzikeee saa hizi usikuuuu
Yaan leo ndio zile siku mbayaWataliano naona wamenyweshwa divai kabla ya kuingia kwenye game, sijui Zidane atakuja na mbinu gani kipindi cha pili?
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Unywe mengi kabisa
HeheSawa utanipa matokeo asubuhi [emoji23][emoji23][emoji23]. Bado mbili tu [emoji28][emoji28][emoji28]
Nitayapata kabla ya asubuhiHehe
Ukiona skupi matokeo jua hali mbaya