Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kabla sijakupa faida za tunda la Tango ningependa ufahamu hili ya kuwa kujua umihimu au faida za kula matunda ni tofauti na mtu aliyechukua hatua ya kuanza kula matunda mara kwa mara.Watu wengi wanafahamu umuhimu wa kula matunda lakini sio wote waliochukua hatua ya kula matunda mbalimbali hata kama yanapatikana kwa urahisi.Nategemea msomaji wangu wewe utakuwa wa tofauti unapojua faida za kula matunda ni vyema ukaanza kula mara kwa mara .
 
FAIDA ZA KULA TUNDA LA TANGO

1.HUSAIDIA MMENG'ENYO WA CHAKULA MWILINI

Tango husifika katika kusaidia katika mmeng'enyo wa chakula na pia kuondoa sumu tumboni na kurahisisha ufyonzwaji wa protein mwilini kutokana na uwepo wa erepsin enzyme.
 
3.HUONGEZA VITAMIN C MWILINI

Tango linakiwango kikubwa na vitamini C ambayo husaidia kuondoa matatizo mbalimbali yanayosababishwa na ukosefu wa vitamin C kama vile kuota meno na mifupa vibaya pia kutokwa na damu kwenye fizi.
 
Back
Top Bottom