omarion5
JF-Expert Member
- Oct 14, 2017
- 5,204
- 17,687
Pale kichwa inapuzidiwa na akili [emoji23][emoji23]
Pale kichwa inapuzidiwa na akili [emoji23][emoji23]
Huyo jamaa anaitwa Edward Moringe Sokoine.Ina maana mashuleni huyo jamaa hatajwi tajwi?
Nikianza kuandika hapa nitakesha.Umegugo ama? Alikuwa nani? Alifanya nini?
Fact.[emoji4]Wote walipona nadhani. Na watakuwa wamejifunza kitu maishani mwao. Ndiyo faida ya shida na matatizo tunayopitia maishani. Yanapaswa kutufunza, kutukomaza na kutukuza kimbinu, kimtazamo na kimapambano !!!
Sokaine, dah! ardhi hii...Maandaeitini (Numbisa, Yego, Jakitoo, Pyaar, Carba, Uniq...) mnajua huyu ni nani?
View attachment 742157
Niko abavu mkuu!!Na wewe ni andaeitini mkuu?
Jemedari wa vita Sokoine EdwardMaandaeitini (Numbisa, Yego, Jakitoo, Pyaar, Carba, Uniq...) mnajua huyu ni nani?
View attachment 742157
Pale Dumila mipango isiyojulikana ilimaliza maisha yakeMaandaeitini (Numbisa, Yego, Jakitoo, Pyaar, Carba, Uniq...) mnajua huyu ni nani?
View attachment 742157
kweli..Maisha ya sasa ni magumu
Utaniiiiiiii !!!Nikianza kuandika hapa nitakesha.
Mie sio <18.
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hivi naweza google sura ya mtu???? Bila kumfahamu jina/nini anafanya/alifanya????