Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
FactsMkuu, hakuna maarifa ambayo yamesimama tisti. Hata kanuni za Fizikia inabidi zibadilike badilike kuendana na uhalisia wa kitafiti. Maarifa mengi ya wahenga yalisadifu sana enzi zao lakini kwa sasa mengine inabidi yabadilike ili kuakisi mwenendo halisi wa jamii kimaendeleo katika nyanja zote za maisha. Bado unaamini kuwa haraka haraka haina baraka katika dunia hii ya utandawazi?
Wote walipona nadhani. Na watakuwa wamejifunza kitu maishani mwao. Ndiyo faida ya shida na matatizo tunayopitia maishani. Yanapaswa kutufunza, kutukomaza na kutukuza kimbinu, kimtazamo na kimapambano !!!Hapo unadhani nan atabaki salama kiuhalisia hapo mkuu
MoringeMaandaeitini (Numbisa, Yego, Jakitoo, Pyaar, Carba, Uniq...) mnajua huyu ni nani?
View attachment 742157
Hahaha[emoji23][emoji23]
Harakat zenye matunda hizi[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ni mtoto wa George Bush nilipatikana alivyokuja kugawa vyandalua makonda nisaidie kumfikishia habari
Umegugo ama? Alikuwa nani? Alifanya nini?Moringe
Namjua sema hujani-mantion hapo!Maandaeitini (Numbisa, Yego, Jakitoo, Pyaar, Carba, Uniq...) mnajua huyu ni nani?
View attachment 742157
?Maandaeitini (Numbisa, Yego, Jakitoo, Pyaar, Carba, Uniq...) mnajua huyu ni nani?
View attachment 742157
Na wewe ni andaeitini mkuu?Namjua sema hujani-mantion hapo!
Ina maana mashuleni huyo jamaa hatajwi tajwi?
hongereniMvua kubwa sana jijini kwangu Dar es Salam walahi!
Nice!