ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Safi sana!Kabisa mkuu walikosea sana imagine huyo punda angekuwa wewe au mtu unayempenda..!!
Safi sana!Kabisa mkuu walikosea sana imagine huyo punda angekuwa wewe au mtu unayempenda..!!
Asante sana mkuu...Nimependa sana ulivyomjibu mkuu
Bigup sana
Sijaumbiwa unafiki
Sana!Kwan mkuu waswahili walikosea kutoa huo msemo[emoji57]
FactMkuu, hakuna maarifa ambayo yamesimama tisti. Hata kanuni za Fizikia inabidi zibadilike badilike kuendana na uhalisia wa kitafiti. Maarifa mengi ya wahenga yalisadifu sana enzi zao lakini kwa sasa mengine inabidi yabadilike ili kuakisi mwenendo halisi wa jamii kimaendeleo katika nyanja zote za maisha. Bado unaamini kuwa haraka haraka haina baraka katika dunia hii ya utandawazi?
Sawa mkuuAsante sana mkuu...
I am humbled you know...
Ni kicheko cha kweli ama?[emoji23]
Embu tusaidiane hapo tuweke vp huu msemo ili ulete mantic katika jamii husikaSana!
Nimefurahi tu...It's thursdayNi kicheko cha kweli ama?
Mbona CHACHAWA inaandamwa hivi? Jizazi !!!
Angekua mm [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha mambo yko [emoji23] [emoji23] [emoji23]Safi sana!
Hapo unadhani nan atabaki salama kiuhalisia hapo mkuuMaisha ni mapambano. Ama unaliwa, unakula au mnakulana....
View attachment 742144
Umeambulia zero!Angekua mm [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha mambo yko [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Upo sahihiUmeambulia zero!
Hukunielewa, duh!kazi kweli kweli walahi!
I have no clue walahi!Embu tusaidiane hapo tuweke vp huu msemo ili ulete mantic katika jamii husika
Hili wingu sio poaMvua kubwa sana jijini kwangu Dar es Salam walahi!
Nice!