Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwan mkuu waswahili walikosea kutoa huo msemo[emoji57]
Mkuu, hakuna maarifa ambayo yamesimama tisti. Hata kanuni za Fizikia inabidi zibadilike badilike kuendana na uhalisia wa kitafiti. Maarifa mengi ya wahenga yalisadifu sana enzi zao lakini kwa sasa mengine inabidi yabadilike ili kuakisi mwenendo halisi wa jamii kimaendeleo katika nyanja zote za maisha. Bado unaamini kuwa haraka haraka haina baraka katika dunia hii ya utandawazi?
 
Nimependa sana ulivyomjibu mkuu

Bigup sana

Sijaumbiwa unafiki
 
Back
Top Bottom