goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,156
Unamualika outing halafu mkiwa njiani unamuita mwiziiiiii mwiziiiiii [emoji23] [emoji23]
Unamualika outing halafu mkiwa njiani unamuita mwiziiiiii mwiziiiiii [emoji23] [emoji23]
Utakuwa umebeba mtoto wa...
Hili ni kosa jingine linalofanywa na watu wengi, bila kujua kama linamkera mwanamke mjamzito. Inawezekana mtoto unayemtabiria siyo aliyekuwa kichwani kwake. Au wakati mwingine anaweza akaona kama unamfanyia uchuro. Kama unahisi huna jambo la kuongea naye, siyo vibaya ukampa nafasi ya kupumzika.
Hivi huyo mtoto anacheza kweli?
Swali kama hili linaweza kusababisha ugomvi mkubwa baina ya muulizaji na muuliza hasa inapotokea, mama mjamzito akawa na mimba kubwa.
Kwani wengi huhisi kuwa, mtoto wake aliyetumboni atakuwa anatabiriwa kifo, jambo ambalo siyo zuri kulisikia hata masikioni
Unataka kujua kama anacheza ama hachezi kwani we ni daktari? Wakati mwingine ni vyema kupima maneno yako kabla hayajatoka nje ya kinywa chako.
Naweza kulishika tumbo lako?
Watu wengi hupenda kufanya mambo kwa kuiga. Inawezekana umeona kwenye video watu wakifanya hivi. Lakini unafahamu kuwa katika tamaduni nyingi mambo ya kushika tumbo la mjamzito hukatazwa.
Hivi na wewe utaweza kunyonyesha kweli?
Swali kama hili linavunja moyo. Unapobeba mimba, kimsingi unakuwa umejipanga. Kwani ni wazi kuwa unaelewa fika kila hatua utakayopitia. Hata kama siyo kwa kuipitia basi hata kwa kuisikia kutoka kwa watu wengine.
Hivyo siyo sawa kumuuliza swali kama hili, kwani mwingine anaweza kukuuliza umenionaje hasa? Na unaweza ukawa umemkera bila ya wewe kufahamu.
Kwa hiyo unatarajia wa kike au wa kiume
Hii ni tabia ya watu wengi kutaka kujua maoni binafsi ya mtu mwenye ujauzito. Licha ya ukweli kuwa kwa mama mtoto ni mtoto, huna haja ya kutaka kujua maoni yake kwani kwa kawaida ni Mungu pekee ndiye mwenye hiyo.
Kwa kutaka kujua maoni yake, unaweza kuwa umemkera. Hivyo ili hilo lisitokee ni bora ukaa kimya kama huna cha kuongea naye.
Si vibaya tukiwaacha wapendwa wetu hawa wabebe mimba kwa raha zao, kwani maswali mengine hukatisha tamaa.
God [emoji22]Nothing is permanent
GodNothing is permanent
GodNothing is permanent
Na mambo mapya!Siku mpya inaanza
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]Siyo kweli ameuchuna mwambie poa tuuuuu haya maisha. [emoji23]
Jana umenikimbia eti ulienda kuangalia mpira. [emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]
Ndo unachotakiwa kujibu??OK God bless you