mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Lakini jambo moja kubwa ambalo kila mmoja wetu anayetumia mitandao ya kijamii anapaswa kukumbuka ni kuwa SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO ipo.
Yafuatayo ni makosa ambayo unapaswa kuyaepuka wakati wa kuchaji betri la simu yako ya smartphone ili kulifanya lisipoteze uimara.
AminaMungu atujaalie tutimize majukumu yetu
Siku mpya inaanzaJua linachomoza na matumaini mapya
Usichaji simu yako usiku wakati unaenda kulala:
Unapochomeka simu yako kwenye umeme kuchaji usiku wakati unakwenda kulala kuna uwezekano mkubwa simu yako ikakaa kwenye chaji kwa muda mrefu hadi asubuhi kwa kuwa utakuwa umepitiwa na usingizi. Kama hiyo ndio tabia yako kuchaji simu usiku ni vizuri ukaiacha mara moja kwani betri la simu linapokaa kwenye chaji muda mrefu sio tu kwamba linaharibu uimara wa betri lakini pia linakuwa kwenye uwezekano mkubwa wa kupata moto kupita kiasi (overheating)
Na kwako piaIwe siku njema kwetu
Kinachotakiwa ni kuondoa simu kutoka kwenye chaji baada ya kuwa imejaa moto kiasi kinachotakiwa, maana yake ni kuwa njia nzuri ya kuchaji betri la simu yako ni kwa kiasi kinachohitajika tu na sio zaidi.
Unapochaji simu yako ondoa mfuniko wa nyuma:
Joto sio zuri kwa betri za simu. Unapokuwa unachaji simu yako huku ikiwa na mfuniko wa nyuma unasababisha joto linalozalishwa wakati huo kubaki ndani ya simu na hivyo kuathiri betri la simu yako. kwa hiyo ni lazima kuondoa mfuniko wa nyuma wa simu ili kuruhusu hewa ya kutosha kuingia na kupunguza joto.
Epuka kuchaji betri la simu kwa 100%:
Kuchaji betri la simu kwa 70 hadi 80% inatosha kabisa kwa matumizi na ni njia mojawapo nzuri ya kutunza uhai wa maisha ya betri lako. Kuchaji kwa 100% haina maana sana kwa sababu inasababisha overheat na kuathiri maisha yake.
Epuka kuchaji betri la simu kwa 100%:
Kuchaji betri la simu kwa 70 hadi 80% inatosha kabisa kwa matumizi na ni njia mojawapo nzuri ya kutunza uhai wa maisha ya betri lako. Kuchaji kwa 100% haina maana sana kwa sababu inasababisha overheat na kuathiri maisha yake.
Tumia Charger sahihi na yenye ubora unaotakiwa:
Unatakiwa kuwa makini sana unapochagua charger kwa ajili ya simu yako ya smartphone kama hauna original. Unatakiwa kununua charger ambayo ni kampuni (brand) sawa na smartphone yako. Hakikisha inalingana uwezo (capacity) na ule wa smartphone yako.
Zuia/ Linda simu yako isipate moto kupita kiasi (Overheating):
Mbali ya kuchaji (charging), kuna vitu vingine vingi vinavyosababisha simu yako kupata moto kupita kiasi (overheating) na hivyo kuathiri uhai wa maisha ya betri la simu yako. Kwa hiyo fuata hatua zifuatazo kuhakikisha simu yako haipati moto.
Siyo kweli ameuchuna mwambie poa tuuuuu haya maisha. [emoji23]Yuko fofofo huyu Mkuu.
Wataalamu kutoka mtandao wa parenting.com wameainisha baadhi ya mambo ambayo mama mjamzito hatakiwi kuambiwa:
Hivi ulijipanga kupata mimba au imekuja tu?
Unategemea kupata jibu gani kutokana na swali hili. Mara nyingi unapomuuliza mwanamke mwenye hali hii humaanisha vitu vingi. Hivyo kwa mujibu wa wataalamu unachotakiwa kumwambia ni ‘hongera’.
Ban yake inaisha lini[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10]
View attachment 741927
Unamualika outing halafu mkiwa njiani unamuita mwiziiiiii mwiziiiiii [emoji23] [emoji23]
Hivi una hakika huna mapacha kweli?
Eeeh akiwa na mapacha we unataka nini? Au we nani hadi uulize swali kama hilo. Kwa kulitazama tu unadhani swali hilo linafurahisha?
Hata kama unamuona ana tumbo kubwa pengine isivyo kawaida hutakikiwi kumwambia kitu kama hicho, hasa ikizingatiwa kila mtu huwa na mapokeo yake.