Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23]mimi nashangaa unavyoniweka kundi la andaeitini wakati ni muhenga mwenzio.
Basi hapo utaenda nitafutia picha tu nyingine unikomeshe[emoji23][emoji23][emoji23]
Ulikuwepo alipokuwepo?

Hili swali halihitaji maelezo: Ni yesi ende no kwesheni...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom