carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Sasa tutakula six packs na blue eyes shem?Kwisha maneno. Six packs na blue eyes I sarenda kazi bure tu ifu yu a broke....
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sasa tutakula six packs na blue eyes shem?Kwisha maneno. Six packs na blue eyes I sarenda kazi bure tu ifu yu a broke....
NdiyoUlikuwepo alipokuwepo?
Hili swali halihitaji maelezo: Ni yesi ende no kwesheni...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli???Boys to men...fomyula hii inafanya kazi kwa wote. Ni yunivaso !!!
Aaaa wapi!Ndiyo
Umekosa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Moringe
Nakukumbusha tu, mie sio <18.
Aanze shule wapi? Alikuwa hata hajazaliwa. Wote hawa maandaeitini wanaotusumbua humu walikuwa bado...Umekosa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo ni picha ya marehemu EDWARD Moringe Sokoine. Alifariki miaka 34 iliyo pita.
Tulivyo tangaziwa mstarini kuwa amefariki, tulitawanyika huku tukilia.Jioni wengine tukakusanyika na wakubwa tukawa tuna muangalia kwenye kitabu cha vita vya Kagera (Idi Amini) huku tukikumbushwa alivyo kuja kukagua shamba la kijiji-Tenende.
Swali:- Je, ulikuwa umeanza shule?