[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23]nilikua la saba enzi hizoAanze shule wapi? Alikuwa hata hajazaliwa. Wote hawa maandaeitini wanaotusumbua humu walikuwa bado...
Heeee!! Kumbe ulikuwa bado mdogo.[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23]nilikua la saba enzi hizo
Sana asione shimba hii [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23]Heeee!! Kumbe ulikuwa bado mdogo.
Sana asione shimba hii [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23]Heeee!! Kumbe ulikuwa bado mdogo.
Nilikuwa darasa la 10Umekosa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo ni picha ya marehemu EDWARD Moringe Sokoine. Alifariki miaka 34 iliyo pita.
Tulivyo tangaziwa mstarini kuwa amefariki, tulitawanyika huku tukilia.Jioni wengine tukakusanyika na wakubwa tukawa tuna muangalia kwenye kitabu cha vita vya Kagera (Idi Amini) huku tukikumbushwa alivyo kuja kukagua shamba la kijiji-Tenende.
Swali:- Je, ulikuwa umeanza shule?
Duh!! Sio kwa mpasuo huo[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 742323
saizi sio sababu mradi iingie mwilini na kupendeza...Tutajua la kufanya shem. Kwani wewe una size ndogo? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
[emoji23][emoji23][emoji23], kumbe wewe kadogo kangu tu.[emoji23][emoji23][emoji28]Sana asione shimba hii [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wabadilishe tu kwakweliDah !!!
Ngoja nione kama watakubali kunibadilishia. Nimenunua size kubwa sana !!!