Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] majibu yko yananikosha uko bright sana braza [emoji106]
Kabisaa jamaa yupo njema sana ila napenda akiwa kwenye mood ya swali maarufu la jamaa mgumu aiseee anatiririka mapoint huyoooo(kama hujaelewa potezea mkuu,mhusika ataelewa)[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23]
 
Ndiyooooo
 
Kwenye jamii zetu nyingi watu hupendelea sana kufanya mazoezi ambayo yanayowaezesha kutunza afya zao, na kati ya mazoezi ambayo ni maarufu, yanayopendwa na yenye tija kwa rika mbalimbali ni mazoezi ya kukimbia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…