Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mchongo huo Pyaar usipuuzie. Ukiwa star sidhani hata kama utaukumbuka uzi huu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naomba nichangie hela niweze kwenda kwa THE INDUSTRY STUDIO ya nahreel, jumanne nilienda kutoa pesa nusu bado laki 3 kurekodi kuanzia beat mixing na Sauti ni laki 7....
Halafu video namtafuta hascana wewe utakuwa video queen... [emoji91] [emoji91] [emoji23]
Ila couple za JF nyingi za uongo na showff tu bora kuwa single au utan ndan ya uzi mmoja sio kufatana kila konaWatu wanapeana makavu laivu na mapovu ya kufa mtu. Mshana mwenyewe hajajitokeza. Wanasema anachochea matunguri kwanza. Kazi kweli kweli...
Weeee tena nafuta I'd na kusepa Jf kabisa nikifulia narudi kwa pyaar wangu... [emoji23]Mchongo huo Pyaar usipuuzie. Ukiwa star sidhani hata kama utaukumbuka uzi huu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni sawa na yule mpiga picha wa dai kifesi alikuwepo humu baada ya umaarufu akapotea kimojaMchongo huo Pyaar usipuuzie. Ukiwa star sidhani hata kama utaukumbuka uzi huu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo maana wengine tumetulia huku. Nikitaniana hapa huko kwingine naenda kuangalia mapovu na ishu ndogo ndogo basi naishia hapo...But again kila mtu na lwake na si sawa kupangiana mambo. Huyo dogo nadhani kuna kitu zaidi kimemkera na siyo hayo mapenzi pekee....Ila couple za JF nyingi za uongo na showff tu bora kuwa single au utan ndan ya uzi mmoja sio kufatana kila kona
Mimi nitabaki humu humu kuwasapoti vijana wenzangu. [emoji23]Ni sawa na yule mpiga picha wa dai kifesi alikuwepo humu baada ya umaarufu akapotea kimoja
Hajapotea bado,, bado muda upo kwake..Hahaha kijana anapotea
CHACHAWA dah! Hata mwezi hakijamaliza. Roho inaniuma basi tu !!!Chachawa kwishney hahahaah