Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ibrahimovic amerejea uwanjani baada ya kupona jeraha la goti alilofanyiwa upasuaji.

Kocha wa Sweden, Janne Andersson, aliwahi kutamka kuwa nyota huyo hayumo kwenye mpango wake.

Sweden imepangwa Kundi F na miamba mingine ya soka duniani Ujerumani, Mexico na Korea Kusini
 
Arusha. Mchuano mkali wa mrithi wa Tundu Lissu katika nafasi ya urais wa chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) unaendelea jijini hapa.

Katika hatua ya sasa, mnyukano unaonekana kuwa kati ya mawakili Fatma Karume na Godwin Simba Gwilimi.

Fatma Karume anaonekana kujipanga akiwa na timu ya wanasheria wasiopungua 10 waliovaa fulana zinazompigia kampeni huku timu ya Gwilimi ikiendelea na kampeni kali.
 
Naomba ubadili msimamo wako leo najua upo upande ambao upo na hautajutia uamuzi wako,"amesema mmoja wa wagombea.

Hata hivyo Wakili Addo Novemba amesema anasikitishwa na hali ya sasa ya TLS ambayo anaifananisha na chama cha siasa.

Amesema mtizamo wa sasa hauoneshi kama ni chombo cha kitaaluma bali kimeelemewa na itikadi za kisiasa ambazo zinakinyima uhuru wake.

Katika hatua nyingine Rais mstaafu wa TLS, Fransis Stolla ambaye amekua kiongozi wa mkutano wa asubuhi aliwatangazia wajumbe kuendelea kuchangia fedha za matibabu za Rais wa TLS, Tundu Lissu ambaye yupo kwenye matibabu nchini Ubelgiji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…