[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Acha kujitetea[emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji35]
[emoji23][emoji23][emoji23]Nafutaaa
Mnanisema
Hautoshi kwa wanaume wa mikoani wabebao "mizigo mizito mabegani"[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Tuu leti nao...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mlo kamili huu mkuu na una kila kitu (carbs, protein, vitamins, fiber...) sema hautoshi...
View attachment 743555
Hata kama.Kiki za lazma zile
Kuna nchi zimepunguza na hata kufuta kabisa mitihani na homework; na viwango vyao vya elimu vimepanda. Wanafunzi wanasisitizwa sana kuoanisha wanachojifunza na hali halisi katika maisha yao na wanakazaniwa kuanza kuendeleza passion zao tangu wakiwa wadogo. Wengi wao badala ya kwenda vyuo vikuu wanakwenda moja kwa moja kujifunza vitu wanavyopenda wakimaliza high school (umekanika, ufundi umeme, electronics...). Ni wale tu wanaohitaji taaluma zinazohitaji nadharia zaidi (mf. MDs, Uhandisi...) ndiyo wanaendelea na vyuo vikuu...Mfyuuuu zake[emoji19][emoji57][emoji57]
Mbona mapema?[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Kesho
Lemme sleep
[emoji28][emoji16][emoji23][emoji3]Utaweka rekodi....
Yetu macho....
SawaNikisema Eid Mubarak. We jibu kwa Kugawa Like tu.
NdioHivi kitufe cha like bado hakijaishiwa wino???
Kula na wewe hiyo hapoHii kwa Kidhungu tunasema LIKEWISE.
Kula yangu hiyo