mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii dhambi ya kuniharibu sijui utaitubia wapi. Itabidi ufunge safari kabisa kwenda Vatican kwa Papa mwenyewe. Kabla hujanidhambisha yaani nilikuwa nafuata mademu PM na kuwapa injili mpaka wanakaribia kuokoka. Leo wanaona post zangu wengine wananiuliza "what happened?" Naishia tu kuwajibu " virolo modo hivi. Vipo viwili kule kwenye uzi namba wani JF vimeniharibu". Wewe na Carba tubuni ili nirudi kwenye mstari kama zamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]