mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
AiseeTetemeko la ardhi linalosababishwa na kandanda limejadiliwa katika kongamano la sayansi la Ulaya mji wa Vienna Austria
AiseeTetemeko la ardhi linalosababishwa na kandanda limejadiliwa katika kongamano la sayansi la Ulaya mji wa Vienna Austria
Sutdents ndio nini myHuyu hapaView attachment 743576
WamestrowayWaandalizi wa michezo ya Jumuiya ya madola inayofanyika nchini Australia wanasema kuwa wanariadha watano kutoka Afrika wametoweka.
Vyuma vimekazaHe! Wa nchi gani?
Mai mimi niliona tu homeworkSutdents ndio nini my
Hujambo weye umepotea sana
Ahsante my.Me mzima sana nashukuru
Karibu my
Kweli umesoma kwa umakini,sikuona hiyo errorSutdents ndio nini my
Sawa my..Mai mimi niliona tu homework
Imekaa vizuri sanaKwenyu kina kakaView attachment 742676
Ndio my nimekaza jicho sanaKweli umesoma kwa umakini,sikuona hiyo error
Nilikuwa napita huko nazurura ndo nikaona comment zako ikabidi nikuite tu.Ahsante my.
My umeniibua huku kwa kunipa like kwenye comment ya June mwaka jana, huku nimekuwa mtoro sana ujue