mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii dhambi ya kuniharibu sijui utaitubia wapi. Itabidi ufunge safari kabisa kwenda Vatican kwa Papa mwenyewe. Kabla hujanidhambisha yaani nilikuwa nafuata mademu PM na kuwapa injili mpaka wanakaribia kuokoka. Leo wanaona post zangu wengine wananiuliza "what happened?" Naishia tu kuwajibu " virolo modo hivi. Vipo viwili kule kwenye uzi namba wani JF vimeniharibu". Wewe na Carba tubuni ili nirudi kwenye mstari kama zamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimekushindwa
Hongera,me sikuona kabisaNdio my nimekaza jicho sana
Itabidi Siku moja tuweke Siku ya kufukua makaburi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeangalia comment za mwanzon daah carba ulikua unamuita carpa ila tabia ya kupenda mswabwax ulikua nayo sana tu sema ulijitahidi kuificha nimeona comment moja nikaishia kucheka bila kuifukua
Hapana budi kuna Siku tutafukua unajua ni burudani toshaWewe!! Unafukua makaburi!
Ahsante my, mimi nikiona sawa sawa na wewe umeonaHongera,me sikuona kabisa
Kuna watu humu tutahama uziItabidi Siku moja tuweke Siku ya kufukua makaburi
[emoji23] [emoji23] usinishindwe nyanya wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimekushindwa
Amedhamiria kuunguza mapafu !!!Duh!
Sawa my ngoja niondoke tena naenda kufanya homeworkNilikuwa napita huko nazurura ndo nikaona comment zako ikabidi nikuite tu.
Hapo sawa nimekupataWazazi hao waliofariki mnamo 2013, walitoa mayai kadhaa yaliogandishwa kwa matumaini kwamba watazaa kupitia mfumo wa IVF.
Kabisa...ila wanakua na pumzi kwenye jamvi'Amedhamiria kuunguza mapafu !!!
Nakazia hapo[emoji4][emoji4]Ahsante my, mimi nikiona sawa sawa na wewe umeona
Makaburi mengine yaacheni tu jamani[emoji23][emoji23]kuna watu waliumwa malaria kali humu ohoooItabidi Siku moja tuweke Siku ya kufukua makaburi