myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Pia tumekumiss Linamo, salaam mkuu. Karibu tena barazani tupige storiNimewamiss
Nipo mkuumoudgulf
Nimekaribia kijiweni rafiki. Uko poa wewe?Pia tumekumiss Linamo, salaam mkuu. Karibu tena barazani tupige stori
Weekend inasemaje??Nipo mkuu
Haya bwana..Eeeh
Yaan kuelewana kuna kuja automatic
Kuna wakati umeme lazima ukatwe ili wewe na vifaa vyako muwe salama.Niko powa, Nina ugomvi tu na Tanesco hapa tayari washaanza kuchezea nyaya
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Unaota mchana huu Liverpool ndio mabigwa wapya mwaka huuSijui bingwa wa UCL atakuwa nani
Ila Liverpool hatakuwa bingwa
Karibu tena..Nimekaribia kijiweni rafiki. Uko poa wewe?
Asante sanaKaribu tena..
Yaan kumfunga Porto ba City tayari mnajipa ubingwa.Unaota mchana huu Liverpool ndio mabigwa wapya mwaka huu
Hapo umeongea ni Liverpool tuBingwa liver au wakiristo
Arabian Nights..."Aladdin and magic lamp"
Mh! Tusuburi. ..Mashabiki wa Arsenal waamini kupangwa dhidi ya Atletico Madrid katika Europa Ligi itawapa ‘hukumu sahihi’ kwa sababu Arsene Wenger atatimuliwa wakitolewa au atabaki kwa kuwapa ubingwa na kupata tiketi ya kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao.
Mkuu Liverpool ni mabigwa wa Mara Tano don't forget thatLiver atachukua kombe ka kuchora labda
Teh teh