Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anaweza kufa kifocha kawaida? Namaanisha bila kusababishiwa kifo kupigwa na mwanadam ama kuliwa na mnyama au ndege.
Sijajua, ila kwa kuvua gamba anakua mpya hivyo huwa mwepesi sana(sensitivity)

Kugundua hatar mapema, na kupambana na adui kwa haraka zaidi kulikoni hapo hawali kumfanya aishi miaka mingi

Nimejaribu kuifungua akili mkuu.
 
Asante kwa maelezo ya kina. Anzisha hiyo mada. Nami nitatupia vijisenti vyangu viwili vitatu....Mungu Akubariki. Najihisi kama vile nimetoka madhabahuni [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…