Mie huwa nawekea chaji kabisaa na inadumu nayo kwa muda mrefu na laptop pia ikiwa na chaji unachajia simu vizur tuPawa benki nayo ni mpaka ukumbuke kuiwekea pawa. Ninazo tatu lakini kila siku umeme ukizimika nakuta hakuna hata moja iliyo na pawa so wote tu tunabakia kuwa pawalesi..
Me siyo jeuri bhana[emoji23][emoji23]We unanielewaga mbona, sema unakuwaga jeuri tuu
[emoji1]
Chai[emoji125] [emoji125]Unajua kupika nn
Kumbe hujui[emoji55]Kumbeee??
Ngoja nikajifunze kupika ugali mwee
Wakisukuma huwa mgumu hlf wa moto,, km viganja vyako vya kichumba utaurudsha kwenye sahani mwenyew[emoji16] [emoji16]Tena ule wa Kisukuma. Ukijifunza kupika huo rojorojo kama wa huko pwani huku Usukumani utachemsha.
Yaani mimi tangu jana najishaua kuichaji na leo umeme hamna[emoji23][emoji23]tanesco Mungu anawaonaMie huwa nawekea chaji kabisaa na inadumu nayo kwa muda mrefu na laptop pia ikiwa na chaji unachajia simu vizur tu
Hahahaaa hata kichina afadhali
Najua kupika chai tu nyanya[emoji17][emoji17]Kumbe hujui[emoji55]
Kuna ugali wa aina tofauti. Ndiyo angalizo kuu hapo jirani. Akajifunze upishi wa kila aina ya ugali...[emoji23][emoji23][emoji23]He!! Anaelekea huko jirani?
[emoji23][emoji23][emoji23]picha ha hivyo viganja tafadhaliWakisukuma huwa mgumu hlf wa moto,, km viganja vyako vya kichumba utaurudsha kwenye sahani mwenyew[emoji16] [emoji16]
Na vitumbua...[emoji16][emoji16]Najua kupika chai tu nyanya[emoji17][emoji17]
Wewe mi nakujua sanaa[emoji1]Me siyo jeuri bhana[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna ugali wa aina tofauti. Ndiyo angalizo kuu hapo jirani. Akajifunze upishi wa kila aina ya ugali...[emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa...Kuna ugali wa aina tofauti. Ndiyo angalizo kuu hapo jirani. Akajifunze upishi wa kila aina ya ugali...[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimesema chai[emoji23][emoji23]jirani ni vipi lakin?Na vitumbua...[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]niacheeeWewe mi nakujua sanaa[emoji1]
Unanielewaga ila unajifanya hunielewi eti
Chaiii!
Na mayai ya kuchemsha unajua? Au nayo mpaka uende kozi?Chai[emoji125] [emoji125]