Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Asante Numby. Carba. Hizi ndo michembe. Viazi vinachimbwa vinaanikwa juani. Vikimaliza utomvu vinakatwa katwa halafu vinaanikwa juani. Vikikauka vinahifadhiwa na baadaye vinapikwa. Kwa kawaida vinaliwa na maziwa, chai, soda na aina nyingine ya drinks. Wakati wa kiangazi ni chakula cha kawaida hasa mchana...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama kina utelezi wa kutosha hakiwezi kuziba(hata sijui mnaongelea nini?!!)
HuhuhuhuHahahaa
But mostly the judged one.
Anha sawa,nilijua ni mihogo iliyokaushwa na jua(kwetu tunaita makopa)Asante Numby. Carba. Hizi ndo michembe. Viazi vinachimbwa vinaanikwa juani. Vikimaliza utomvu vinakatwa katwa halafu vinaanikwa juani. Vikikauka vinahifadhiwa na baadaye vinapikwa. Kwa kawaida vinaliwa na maziwa, chai, soda na aina nyingine ya drinks. Wakati wa kiangazi ni chakula cha kawaida hasa mchana...
Viazi vitamu vilivyokaushwa juan ni michembeNi mihogo iliyokaushwa na jua ama??
Ufafanuzi tafadhali
Mikono migumu ndo inafaa kwa massage. Kama ni migumu sana kuna gloves maalum.Utakubali kufanyiwa massage na mikono migumu?
Tuanzie hapo
Kivuruge kaja kuvuruga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AsanteViazi vitamu vilivyokaushwa juan ni michembe
Matobolwa ni viazi vitamu vilivyochemshwa bila kuiva vikakatwa katwa na kuanikwa juani
Huwa nabebena(tafuna)hivyo hivyo ila napenda sana matobolwa kwa chaiAsante Numby. Carba. Hizi ndo michembe. Viazi vinachimbwa vinaanikwa juani. Vikimaliza utomvu vinakatwa katwa halafu vinaanikwa juani. Vikikauka vinahifadhiwa na baadaye vinapikwa. Kwa kawaida vinaliwa na maziwa, chai, soda na aina nyingine ya drinks. Wakati wa kiangazi ni chakula cha kawaida hasa mchana...
Basi sawaMikono migumu ndo inafaa kwa massage. Kama ni migumu sana kuna gloves maalum.
Likes unatoa..unapost nawe upateJAMANI MIMI NAOMBA LIKE TU KAMA ELFU 10 HIVI ASANTENI SANA,
LIKE
LIKE
LIKE
LIKE
LIKE
View attachment 744447
Asante Numby...MatobolwaView attachment 744445
JAMANI MIMI NAOMBA LIKE TU KAMA ELFU 10 HIVI ASANTENI SANA,
LIKE
LIKE
LIKE
LIKE
LIKE
View attachment 744447
Nakuona mzee wa kujibembeleza[emoji1][emoji1]What if- Jason derulo [emoji445]
Gazeti la wanaume hilo. Kila aina ya mazoezi kwa wanaotaka 6 paksi....Mmh!![emoji124] [emoji124] [emoji124]