carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kweli sijui ndo maana nikauliza[emoji85][emoji85][emoji85][emoji16] [emoji16] [emoji16] ww Carba,,,ina maana hujui hizo vitu
Jizazi....[emoji3] [emoji3] [emoji3] mnalima nini?
Na bhajia za dengu...Kweli sijui ndo maana nikauliza[emoji85][emoji85][emoji85]
Me najua visheti tu na urojo[emoji23][emoji23][emoji23]
Asante[emoji4][emoji4]Hah
Hahaha welcome
Boarding yetu hata jojo inaweza kukufukuzisha shule. Vitu vitamu ni vya uraian shule ni kusoma na kula makande,ugal harage,wali mara mbili kwa wikiNilikuwa nakwenda na michembe kibao boarding school. Unatafuna halafu unasukumizia na maji. Wakati wengine wanapiga miayo kwa sababu njaa mi tumbo liko ndiiii !!!
Bhajia za kunde,unazijua??Na bhajia za dengu...
Akija unitonye nije niungane nanyi...Kimdabuo [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Hah
Hahaha welcome
Kukatika umeme!!! Hata mitaa hiyo umeme unaweza katika kweli!!!Pawa benki nayo ni mpaka ukumbuke kuiwekea pawa. Ninazo tatu lakini kila siku umeme ukizimika nakuta hakuna hata moja iliyo na pawa so wote tu tunabakia kuwa pawalesi..
Kuna bajia flan hivi za mbegu mbegu nimezisahau jina nilizijulia ukubwan,bajia za dengu tangu utoton zimezagaa magengeniNa bhajia za dengu...
Eee jirani..kipindi Fulani cha mwaka zinapendwa sanaBhajia za kunde,unazijua??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hee mpango wa kutubu umeishia wapi?Akija unitonye nije niungane nanyi...Kimdabuo [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Shule ya misheni ama? Sisi ilikuwa rukhsa...Boarding yetu hata jojo inaweza kukufukuzisha shule. Vitu vitamu ni vya uraian shule ni kusoma na kula makande,ugal harage,wali mara mbili kwa wiki
Kama shule niliyosoma walah tena.Boarding yetu hata jojo inaweza kukufukuzisha shule. Vitu vitamu ni vya uraian shule ni kusoma na kula makande,ugal harage,wali mara mbili kwa wiki
Kimdabuo[emoji39][emoji39][emoji39]Akija unitonye nije niungane nanyi...Kimdabuo [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Bajia za kunde hizoKuna bajia flan hivi za mbegu mbegu nimezisahau jina nilizijulia ukubwan,bajia za dengu tangu utoton zimezagaa magengeni
Hakuna mtu wa kutubu hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hee mpango wa kutubu umeishia wapi?
Nikiwa Koromije mkuu. Mitaa hii haukatiki pengine kuwe na dhoruba. Ukikatika bila sababu basi mtaelezwa sababu na muda utakaorudi. Na wakorofi wakiunguziwa vifaa vyao vya umeme wanaweza kushitaki na kulipwa fidia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kukatika umeme!!! Hata mitaa hiyo umeme unaweza katika kweli!!!