[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] aya bhanaKweli sijui ndo maana nikauliza[emoji85][emoji85][emoji85]
Me najua visheti tu na urojo[emoji23][emoji23][emoji23]
Za kunde...Kuna bajia flan hivi za mbegu mbegu nimezisahau jina nilizijulia ukubwan,bajia za dengu tangu utoton zimezagaa magengeni
Hahahahahah[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hizi mvua ni hatari kwa afya ya viungo vya uzazi[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Watubishaji si mmekataa? Au nikija ndo mnipeleke nikatubu. Yote sawa tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hee mpango wa kutubu umeishia wapi?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nakuona mzee wa kujibembeleza[emoji1][emoji1]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] hatoki mtu leo[emoji3] [emoji3] [emoji3] moja haikai wala mbili haikai
Dada umekula maharage ya wapi leo?[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hizi mvua ni hatari kwa afya ya viungo vya uzazi[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naogopa hata kumjadili.Phobia yako hiyo mkuu. Imagine umeulamba na tai juu kumbe tandu yumo ndani ya shati halafu unamsikia anatambaa tambaa?
Siku inaendeleaje?
Wap ledada
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna mtu wa kutubu hapo[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaweza toka kimara mpaka mbagala kila shamba lina mwenyewe labda ubanane na wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi msimu huu wa masika kunashamba ambalo halilimwi kweli??
KabisaAsante Numby...
Muulizaji bila shaka atakuwa ameelewa. Akitaka tofauti ya Matobolwa na michembe aseme.
[emoji444][emoji443][emoji445]Tokotokooo [emoji445][emoji443][emoji444]Dada umekula maharage ya wapi leo?[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu, kwema[emoji16] [emoji16] [emoji16] ila ni sherehe kwa fundi selemala lazma aje kurekebsha chaga za ktanda
Hii ndoa kiba asipokua makin atakoma balaa maana anaoa kwa amri ya gavana(pesa pesa bana pole kwa joketi)Ndoa ya Kiba na Khaleef ilikuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu na mashabiki, ambapo sasa mambo ndio yamekuwa moto huku amsha amsha za harusi hiyo zikipamba moto.
Imeelezwa kuwa, mpango mzima wa harusi hiyo unasimamiwa na rafiki wa karibu na Kiba, Sultan Joho ambaye ni Gavana wa kaunti ya Mombasa.