Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nasubiri kuona mwisho ya hii movie yake
 
Wababa mliopo ndani ya uzi huu majibu yenu tafadhali
Kwa wanaume wenye watoto wa kike
Binti akifikia umri huo,, ni ngumu sana kumchunga,kumsema hata kumpiga pia cha msingi ni kumsihi mama yake aongee nae vzr na kwa uwazi zaidi

Ila ukijfanya uanze kumkanya na hasira zle za kiume wakati unamuadhbu anaweza kukaa vbaya nguo zkamruka inakuwa aibu sana
 
Halafu kwanini huwa ni vigumu wababa kuongea na watoto zao kuhusu elimu ya afya ya uzazi?
 

Numbisa habari yako mkuu..
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema, anayeona amefanya operesheni yake kwa kukurupuka ni mtenda dhambi.

Ameyasema hayo leo Aprili14, katika majohiano maalum yanayorushwa mubashara na televisheni ya TBC na kusema kuwa iwapo kesi zote za wenza hao zingepelekwa mahakamani, zingechukua muda mrefu.
 
Kadhalika amesema suala la wanaume kuwapa mimba wanawake nje ya ndoa au wafanyakazi wa ndani ni matokeo ya kutotumia kinga.

“Halafu wanataka niendelee kufanya mambo kwa maficho ili wao waendelee kuwapa watu ujauzito na kuwatelekeza,” amesema na kuongeza:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…