carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kuna siku itabidi nijitose tu kuitafuta,naimani nitaipataIle bana nilidhan weekend ntapata nafasi ila duh hamna maana likes zitanipita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji4] [emoji4]Mambo ni Fresh kama Cucumber aisee!🙂🙂
Naona mnamalizia weekend yenu...!
Ndio huu,ahsante sana mkuu[emoji120] [emoji120] .Naamini utakuwa huu hapa:
Nguvu ya elimu katika medani za ujasusi na ulinzi: Tanzania tuna nini cha kujifunza ?
Pyaar upo aisee.....Asipopungua uzito, sijui!
Ndio huu,ahsante sana mkuu[emoji120] [emoji120] .Naamini utakuwa huu hapa:
Nguvu ya elimu katika medani za ujasusi na ulinzi: Tanzania tuna nini cha kujifunza ?
Hata kama ana 40kg zitapungua tu..Ana uzito wa kupungua yule? Au mnaongelea nini? Kitako kile kipungue tena sasa kitabaki nini?
Wee lile pigo si mchezo.Hadi kaamua kustaafu muzik kwa muda
UnahangaikaMimi lipo kwenye mafaili yangu
Nikipata na ile picha ya suruali ya kitambaa baaasii[emoji23][emoji23]
Asante,yaani wamenikera basi tu[emoji17][emoji17][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole carba mimi nimeangalia tu ya kwanza watu wakataka habari[emoji58] [emoji58] [emoji58] [emoji58]
Ubarikiwe, karibu sana!Ndio huu,ahsante sana mkuu[emoji120] [emoji120] .
Ngoja nijipeleke huko
Sijui muda huo wanakuwaga wameshikiwa akili.Wee lile pigo si mchezo.
Ila ndo ajifunze,hivi unarekodi vipi wakati una nyanduliwa??
Nia yako umuonyeshe nani na kwa faida ya nani??
Mfyuu zake
Nipo mkuu..Heshima yako.Pyaar upo aisee.....
[emoji23][emoji23][emoji23] Tatizo vyuma[emoji4] [emoji4]
Kabisaa alafu weekends za mwaka huu ni fupi sijui kwa nini