Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unga wa mbegu ukinywa mara 3 kutwa hutibu kuharisha na kuhara damu, uzazi wa majira tumia mbegu ya embe , mbegu ya embe hutumika kulegea kwa uzazi wa mwanamke, na utoaji wa maji meupe kwenye uke, (leucorrhea) . Gome (gamba) hutumika kutoka damu nyingi kuliko kawaida kwa mwanamke, vidonda vya kooni na homa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…