Nyie watoto ni tatizo sana.Sijui nikimbilie wapi ili nipate amani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ututag woote humu tuiangalie tena kwa umakin mkubwa
I love her very much! See .. here we are..View attachment 744789 The new TLS president!!
Haaa[emoji38] [emoji38]
Whooooooh.............!Beautiful here we go again my love, you know I will never let you go [emoji445] [emoji445]
Hata kujaribu siwezi..Good Girl,
Usije ukajaribu kabisa......!
Its a bad medicine.....!
Kwa hiyo hata vikitokea viboi vyenu kuwatoa auti mtakataa kisa suruali ya kitambaa inatafutwa? Kwani Numbisa aliona nini?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nicheke mimi na uzee huu kuburuzwa na viandaeitini.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitakaa nayo kimya kimya,hachelewi kuniambia "unahangaika"